Lugha inayotumika sasa: sw Kiswahili

Lugha
Selected Language:

Waalimu

Akiwa na chapa ya ujasiri na ari, John Bevere ni mwandishi wa vitabu vyenye soko sana kama vile Extraordinary (Kupita kawaida), The Bait of Satan (Chambo ya Shetani), The Fear of the Lord (Kicho cha Bwana), Under Cover (Chini ya Ufuniko), na Driven by Eternity (Kuendeshwa na Umilele). Vitabu vyake vimetafsiriwa zaidi ya lugha 100, na kipindi chake cha Televisheni cha kila juma, The Messenger (Mjumbe), kinarushwa duniani pote. John ni mnenaji maarufu kwenye makongamano na makanisa, na huduma yake inatoa raslimali zenye kubadilisha maisha kwa wale wanaotaka na kutendea kazi kanuni za Mungu. John anafurahia kuisha Colorado Springs pamoja na mke wake, Lisa, ambaye pia ni mwandishi mwenye soko sana na mnenaji, wana wao wa kiume wanne, mkwe wao, na wajukuu.

Ona Nakili za kuchukua zinazopatikana Barua Pepe John Bevere

Mwenye ari. Rahisi kuchukizwa. Mwana Mahusiano. Mwenye Nguvu. Mwenye ucheshi. Maneno haya yanamwelezea Lisa Bevere―mnenaji wa kimataifa, mwandishi mwenye soko sana, mwenyeji mwenzi wa kipindi cha Televisheni cha The Messenger, ambacho kinarushwa katika zaidi ya nchi 200. Katika mtindo wake ulio dhahiri, Lisa analishirikisha Neno la Mungu akiwa amelifumia uzoefu binafsi ili kuwezesha maisha kwa uhuru na mabadiliko. Kama wakili wa haki, huwahamasisha wengine kuwa jibu kwa matatizo yasiyo na matumaini karibu na mbali. Anafurahia kutumia muda na penzi la maisha yake, mume wake John Bevere, wana wao wa kiume wanne, binti mkwe wao mwenye uzuri wenye kuvutia, na wajukuu wenye kuvutia sana.

Ona Nakili za kuchukua zinazopatikana Barua Pepe Lisa Bevere