Ukurasa wa mwanzo - Kwa kusikiliza - Roho Mtakatifu: Utangulizi Audio Vitabu

 
Roho Mtakatifu: Utangulizi Audio Vitabu
Mwalimu: John Bevere

Wanafunzi wa kwanza walitumia miaka mitatu pamoja na Yesu, wakitembea na Yeye na kusikia kila kitu alichowaambia. Hata hivyo kabla ya kusulubiwa, Yesu aliwaambia marafiki zake wa karibu kabisa kwamba alihitaji kuwaacha ili Roho Mtakatifu aweze kuja—na kwamba ingekuwa afadhali kwao kwa sababu ya hilo. Kama hili lilikuwa kweli juu ya wanafunzi, ambao walikuwa na Yesu kila siku, je! Si tunamhitaji Roho Mtakatifu zaidi sana ajihusishe sana na maisha yetu leo?

Katika ujumbe huu, John Bevere atakutambulisha kwa Roho Mtakatifu. Utajifunza kuhusu haiba yake, nguvu yake, na jinsi unavyoweza kumjua Yeye bora zaidi. Haijalishi uko wapi katika safari yako na Mungu, Roho Mtakatifu: Utangulizi utakusaidia kuendelea kumkaribia zaidi Yeye Aliye wa milele ambaye anakupenda wewe sana kwa shauku.

Shiriki kwenye mtandao wa