Ukurasa wa mwanzo - Kwa kusikiliza - Mema au Mapenzi ya Mungu? wa Mtaala kwa Audio

 
Mema au Mapenzi ya Mungu? wa Mtaala kwa Audio
Mwalimu: John Bevere

Sababu ambayo mema bila Mungu hayatoshi

Kama ni chema, lazima kiwe ni mapenzi ya Mungu, Sivyo?

Siku hizi, mema na mapenzi ya Mungu hueleweka kuwa na maana sawa. Huwa tunaamini kwamba kitu kinachokubalika kuwa kitu chema lazima kiwe ni mapenzi ya Mungu pia. Ukarimu, unyenyekevu, haki—wema. Uchoyo, ujeuri, ukatili—uovu. Tofauti kati ya haya mawili huonekana kuwa wazi na dhahiri.

Lakini je, ni kweli kwamba hakuna la ziada kuhusu swala hili? Kama wema ni kitu kilicho wazi hivyo, ni kwa nini Biblia inasema kwamba tunahitaji uwezo wa kupambanua ili kuutambua?

Mema au Mapenzi ya Mungu? si ujumbe mwingine wa kujisaidia tu. Kitabu hiki kitafanya zaidi ya kukushawishi ubadilishe tabia zako. Kitakuwezesha kuwa na uhusiano na Mungu utakaobadilisha maisha yako kabisa.

Rasilimali katika familia moja:
Mema au Mapenzi ya Mungu
Mema au Mapenzi ya Mungu? wa Mtaala kwa Video
Mema au Mapenzi ya Mungu – Kitabu cha Kusikilizwa

Shiriki kwenye mtandao wa